Exodus 16:2-3

2 aHuko jangwani hiyo jumuiya yote wakawanung’unikia Musa na Haruni. 3 bWaisraeli wakawaambia, “Laiti tungelikufa kwa mkono wa Bwana huko Misri! Huko tuliketi tukizunguka masufuria ya nyama na tukala vyakula tulivyovitaka, lakini ninyi mmetuleta huku jangwani ili mpate kuua mkutano huu wote kwa njaa.”

Copyright information for SwhKC